Tiba ya Kansa na Kisukari

Tiba ya Kansa na Kisukari

NYACHA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
273
Reaction score
66
Wadau kuna bibi mmoja yuko Kasulu anatibu magonjwa hayo. Anatibu aina zote za Kansa kwa miti shamba tens gharama nafuu; malipo ni baada ya kupona. Kwa maelezo zaidi ni-pm. IT IS TRUE.
 
Mkuu huyo bibi anatibu kansa iliyofikia stage ipi au haijalishi kansa imemla mtu namna gani?
 
Mkuu huyo bibi anatibu kansa iliyofikia stage ipi au haijalishi kansa imemla mtu namna gani?

yeye anasema Kansa ya stage yoyote anatibu, kama kuna kidonda, kuna dawa ya kupakaa. Nimeshuhudia watu watano wakienda kumshukuru kwa tiba waliyoipata. Hana malipo , malipo kamili ni baada ya kupona.
 
Hayo ni magonjwa yanayotesa watu sana miaka hii,
Mwambieni awaonyeshe hiyo fomula yake.
 
Mkuu ungetoa tuu contact yake hapa, wenye shida wamtafute. ....
 
Mkuu kwa nini usimlete huyo bibi mjini Kama anatibu kweli mtapiga pesa ndefu Sana.
 
kuuliza siyo ujinga wajemeeni, hili bandiko ni la 2015, sasa leo April 2018 huyo bibi bado anatoa hiyo huduma au alikwisha okoka?
 
NYACHA mwenyewe mara ya mwisho hapa ni September 2017 na bandiko la mwaka 2015. Angetupatia hapa contact ndiyo ingekuwa ni busara kama kweli anadhamiria kusaidia jamii. Ukweli haya magonjwa yanatesa sana.
 
Back
Top Bottom