Tiba ya kansa ya damu (saratani)

Tiba ya kansa ya damu (saratani)

wataalam waliosoma miaka karibu 9 wamakuambia upasuaji ila hujawaamini unataka ushauri wa watu ambao hawajamuona mgonjwa wala hawana vipimo vyake?
 
Naomba kujua tiba ya kansa ya kitaalamu au tiba mbadala tafadhalini.

Kuna topic ipo hapa jf inaitwa "the hidden cancer cure" imeanzisha na mtaalamu mmoja anaitwa "deception". Itafute itakusaidia hlf mtafute huyu bwana atakusaidia Deception
 
Last edited by a moderator:
Mpendwa kuna kimbilio la rahisi hapa. Tafuteni bitrut zile nyekundu kuna picha yake nimeiona hapo juu. Ukichukua bitruti moja, karoti moja, na apple moja. Apples zinapatikana kwenye supermarkets. Karoti ziko kila mahali. Tafuteni kisagia au juice maker. Safisheni sana hiyo bits kaarot na aple bila kumenya. Mkiamka asubuhi msagieni mchanganyiko huu kwa pamoja na ale tu wakati ameamka kabla hajala chakula kingine au hata kusukutua mdomo. Akae lisaa limoja ndipo asukutue na kula chakula cha asubuhi. Hii ni dawa asilia tosha na inaweza kuokoa maisha yake. Fanyeni hivyo kila siku kwa muda halafu akapime. Asiache kula dawa kwani hiki ni chakula kama chakula kingine. Mungu awasaidie mpate kumtunza na kumsaidia hadi apone. Mpeni pole mgonjwa na atapona tu nina imani kwa Mungu mkitumia hii dawa asilia atapona.
 
Ndugu, wanaJF naomba kwa wale wenye uelewa wa tiba ya saratani ya damu, maana kaka yangu amepima amebainika kuwa nayo, na amelazwa hoptali ya rufaa ya Bugando.

Chanzo chako inawezekana ni kutoka mgodi wa North Mara, maana alifanya kazi eneo la plant kwa muda wa mwaka mmoja, ameandikiwa dawa aina ya chlorambucil tabs 50mg po oD 3/52.

Tumejitahidi kutafuta kwa Mwanza bila mafanikio, naomba msaada wenu wa mawazo hata tiba kama ikipatikana.

Nahitaji msaada wa sheria pia .

Nawasilisha.
Pole sana Mkuu nione mimi nipate kumtibia kaka yako apate kupona hapo hospitali hakuna tiba yoyote atakayo weza kupona.Ukihitaji tiba toka kwangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
SARATANI YA DAMU (LEUKEMIA)




Tunauza dawa za kansa /saratani za aina zote kwa mfano kansa /saratani zifuatazo:-

Kansa ya Ngozi, Kansa ya mapafu (Lungs Cancer), Kansa ya utumbo (Colon Cancer), Leukemia (kansa ya damu), kansa ya mifupa (Bone Cancer), kansa ya matiti (breast cancer), Kansa ya tezi dume (Prostate cancer), kansa za kizazi kama ovarian cancer,kansa ya kibofu, Uterine Cancer. etc.

Dawa ya kansa / Saratani ni B-17 kama inavyoonekana kwenye Picha, na dawa hiyo matumizi yake ni kama ifuatavyo:-
1. utapewa B-17 kopo mbili
2. Utapewa pia na Zinc Mineral supplement kopo 1. (Special sio zile wanazotumia hospitalini hizi za tiba mbadala)
3. ila utaongezea wewe vitamin mbili tu utaelekezwa,

Pia utapewa menu (Nutrition / diet)
1. itakuelekeza vyakula gani usitumie na sababu zake kwa nini usitumie na muda wa kutovitumia mpaka utakapopona., inamaanisha baada ya kupona unaweza kuvitumia tena.
2. Vyakula ambavyo ni muhimu kutumia wakati unatumia dawa / kipindi chote utakachotumia dawa.
>>>
Dawa ya B-17
inaongeza appetite ya kula, ina regulate blood pressure, pia unapunguza cell za kansa na kuziondoa kabisa.
Contact hii ili kuzipata: +447456171773 au+255787291773
 
Back
Top Bottom