Ndugu, wanaJF naomba kwa wale wenye uelewa wa tiba ya saratani ya damu, maana kaka yangu amepima amebainika kuwa nayo, na amelazwa hoptali ya rufaa ya Bugando.
Chanzo chako inawezekana ni kutoka mgodi wa North Mara, maana alifanya kazi eneo la plant kwa muda wa mwaka mmoja, ameandikiwa dawa aina ya chlorambucil tabs 50mg po oD 3/52.
Tumejitahidi kutafuta kwa Mwanza bila mafanikio, naomba msaada wenu wa mawazo hata tiba kama ikipatikana.
Nahitaji msaada wa sheria pia .
Nawasilisha.