muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Ugonjwa huu umeanza kushamiri kwenye jamii inayotuzunguka. Tusaidiane kujua nini kinasababisha na matibabu yake ni yapi.
Chanzo/Kinachosababisha tatizo?
Dalili: Dalili mojawapo ni maumivu yasiyokuwa makali sana chini ya tumbo upande wa mbavu. Maumivu yanakuwa makali endali ukipia chafya au kujinyoosha au kufanya kazi zenye kuhitaji stretching.
Kwa uzoefu watu wenye tabia ya kutokunywa maji ya kutosha wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huo. Maji ni muhimu sana kusafisha na kutoa uchafu mwilini na hasa kwenyw figo, endapo mtu hanywi maji ya kutosha uchafu hujikusanya kwenye figo na kusababisha tatizo hilo.
Kuna madawa ya kuvunjavunja hizo stone lakini siyo mawe na kutoka kwa njia ya mkojo ila huchukua muda
So kulingana na uzoefu tusaidiane madaktari na experience people kinachosababisha na namna ya kuepuka tatizo hilo