Tiba ya Kidney Stone

Tiba ya Kidney Stone

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,041
Reaction score
1,457
Ugonjwa huu umeanza kushamiri kwenye jamii inayotuzunguka. Tusaidiane kujua nini kinasababisha na matibabu yake ni yapi.

Chanzo/Kinachosababisha tatizo?

Dalili: Dalili mojawapo ni maumivu yasiyokuwa makali sana chini ya tumbo upande wa mbavu. Maumivu yanakuwa makali endali ukipia chafya au kujinyoosha au kufanya kazi zenye kuhitaji stretching.

Kwa uzoefu watu wenye tabia ya kutokunywa maji ya kutosha wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huo. Maji ni muhimu sana kusafisha na kutoa uchafu mwilini na hasa kwenyw figo, endapo mtu hanywi maji ya kutosha uchafu hujikusanya kwenye figo na kusababisha tatizo hilo.
Kuna madawa ya kuvunjavunja hizo stone lakini siyo mawe na kutoka kwa njia ya mkojo ila huchukua muda

So kulingana na uzoefu tusaidiane madaktari na experience people kinachosababisha na namna ya kuepuka tatizo hilo
 
Lazima kwanza Uelewe contents za urine kuelewa kidney stones. Contents za urine ni urea, sodium, potassium, creatinine and other disolved ions and inorganic matters.

Hizi zote zinahitaji maada wa maji ziweze kuchujwa kutoka kwenye damu na kutoka kama uchafu kwenye mkojo.

Usipokunywa maji mengi hizo contests zinajikusanya kwenye figo na kuweka vijiwe kama chumvi ya mawe. Kwa kizungu wanaviita kidney stones.
 
Lazima kwanza Helene contents za urine kuelewa kidney stones. Contents za urine ni urea, sodium, potassium, creatinine and other disolved ions and inorganic matters.

Hizi zote zinahitaji maada wa maji ziweze kuchujwa kutoka kwenye damu na kutoka kama uchafu kwenye mkojo.

Usipokunywa maji mengi hizo contests zinajikusanya kwenye figo na kuweka vijiwe kama chumvi ya mawe. Kwa kizungu wanaviita kidney stones.
Duh!...Duh!!....Duh!!!!!....Shem Kumbe chanzo ni kutokunywa maji mengi??!
 
Uho ugonjwa ni hatari,,me nnao natumia dawa ya maji inaitwa CITAL
 
Attachments

  • IMG-20180928-WA0006.jpeg
    IMG-20180928-WA0006.jpeg
    73.7 KB · Views: 57
Nina mgonjwa pia mwenye tatizo hilo, yeye kapewa dawa hizo kwa ajili ya disintegrate hizo particles na kutoa kwa njia ya mkojo. Katumia 3 days kapata nafuu, maumivu almost yamekwisha
 
Nina mgonjwa pia mwenye tatizo hilo, yeye kapewa dawa hizo kwa ajili ya disintegrate hizo particles na kutoa kwa njia ya mkojo. Katumia 3 days kapata nafuu, maumivu almost yamekwisha
Lakini kikubwa ni kujitahidi kunywa maji mengi for clean out.

Pia unaweza changanya maji na juice kwa urahisi zaidi
1538623108403.jpeg
 
Mara nyingi tunapokuwa na wagonjwa wenye ulemavu au uzee unaosabisha washindwe kutembea wanaona ni kheri wasinywe maji kuepuka usumbufu inabidi kuwatafutia njia mbadala ya kujisaidia lakini ni muhimu wanywe maji
[emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom