Mmmmmmh braza! hizo sio kamba tunafungana?
mi sina bwana nitembelee ya nini...
Post Exposure Prophylaxis (PEP) ni moja ya njia za kuzuia maambukizi kwa watu ambao hawana virusi vya UKIMWI wasiwe navyo. Mara nyingi inatumika kwa wahanga wa kubakwa na wafanyakazi wa afya ambao wanaweza kujidunga,kujikwaruza au kumwagikiwa na maji maji yanayotoka kwa mgonjwa alieathirika. Historia ya PEP ilianza na dawa mbili na sasa ni dawa tatu ambazo zinatumiwa kwa siku 28 baada ya tukio. Inapendekezwa kuwa mtu aliyekuwa exposed apimwe na kuanzishiwa hayo madawa ndani ya masaa 72 bada ya tukio.
Kuhusu effectiveness ya huu mpango bado haujaweza kufanyiwa uchunguzi wa kutosha kuweza kuthibitishwa kuwa hauna matatizo. Kwa wale wanaokfanya ngono zembe sina uhakika kwa wanaweza wakajihami kwa PEP.
Kumbe ndio maana mpaka leo bado kuna wanaoliwa pesa kwenye karata tatu. mngekuwa na imani hizi kwenye kumuabudu mungu ingekuwa well n good.
huwezi kuwa positive in such short time. no antibodies already formed. lazima ucheki baada ya miezi 3 hadi 6. ndiyo PEEP husaidia kuzuia HJIV.Smile ni kweli kwamba PEP husaidia kuzuia maambukizi ya HIV shortly after contact. kuna siku moja nilikuwa nina deal na damu kwenye utafiti wangu. what happened wakati namfanyia pricking client wangu akatikisa kidole ile niddle ili mchoma yeye na mimi kwa wakati mmoja.
mbaya zaid the client alikuwa +HIV, basi nilichokifanya punde i washed the place kwa maji ya bomba yanayotiririka for about 15 mints huku nikiwa nakibinya damu iendelee kutoka. kisha nikatumia PEP nilipo test after 3 days nikawa safe na nikarudia baada ya wiki ya ni siku 7 still nikamshukuru Mungu.
sasa huko kwenye kusex nako pia husaidia manake itawaahi wadudu kabla hawajajiincubate kwenye ini.
It's true,NGO's nyingi huwa wana hizo dawa na wafanyakazi huwa wanaambiwa in case kama umebakwa uende kwa custodian wa hizo dawa within 24hours ili akupatie umeze kwani zinazuia maambukizi ya ukimwi.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums