kidada1986
Member
- Sep 1, 2013
- 5
- 1
Nahitaji kujua dawa ya kuondoa weusi wa pembezoni mwa mapaja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamndenyi anajua tiba ila hataki kusema.jaribu kum-PM.Nakwambia ni majanga;
hasa bongo na huu mjoto tena mmmh;
sitaki hata kusema neno hapo.
ninachowahusia dada zangu kwenye hizi dawa mnazoomba kupewa au kushauriwa angalieni side effect...Yaaani hilo tatizo sana lol.....tupeni dawa bas!!!!
Nakwambia ni majanga;
hasa bongo na huu mjoto tena mmmh;
sitaki hata kusema neno hapo.
Mamdenyi waijua dawa maana mapaja yakianza kukufia ni hatari ndugu yangu nipen dawa