Tiba ya kuondoa weusi mapajani

Tiba ya kuondoa weusi mapajani

Nakwambia ni majanga;
hasa bongo na huu mjoto tena mmmh;
sitaki hata kusema neno hapo.
 
Njoo nikupe mbinu ambayo kutopata weusi pembezoni mwa mapaja nicheek pm au wasiliana na mimi no 0713405390 tatizo lako litakwisha kabisa.
 
Yaaani hilo tatizo sana lol.....tupeni dawa bas!!!!
ninachowahusia dada zangu kwenye hizi dawa mnazoomba kupewa au kushauriwa angalieni side effect...
i think mngejaribu vitamin c na maji ya kutosha ndani ya miili yenu zaidi kung'arisha ngozi zenu na pia epukeni manguo mengi ya kulazimisha ili muonekane mna hips au mikia....hata hivyo hizo sehemu ni very sensitive na delicate....so avoid chemicals
 
Niliandika waraka mrefu visababishi mbalimabli na matibabu yake laptop ikazima .Ni ngumu kuandika tena ila kwa wengi sababu ni friction usuguano mapajani so watch your weight and keep the area dehydrated.

Kuna product moja inatwa Ambi(kuna whitening cream ,soap) inaweza kusaidia kutoa uwesi na make sure the area is clean,hydrated ,keep on using lotion with vitamin E.


Kwa wanaohitaji AMBI na hawawezi pata bongo tuma PM watu wakiwa wengi au idadi ya kuweza kulipia gharama za posta nawatuma.

Ukisoma sifa ambi ni kuwa waiku-bleach and clinical recommended
 
Back
Top Bottom