Tiba ya kuongeza nyonga

Tiba ya kuongeza nyonga

DATABASEE

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
588
Reaction score
585
Wapendwa polen na majukumu,

Naomba msaada wa kitabibu zaidi lakini pia uzoefu wenu katika hili.
Nina dada yangu miaka mitatu iliyopita alijifungua kwa operation (kwa kisu), maelekezo ya dactari ni kwamba NYONGA ilikua ndogo, umri wake ni 30.

Swali langu ni kwamba;
1.Je kuna uwezekano wa yeye kujifungua kawaida kama atapata ujauzito?
2.Je nini tiba sahihi ya kuongeza nyonga?

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

AHSANTENI
 
Back
Top Bottom