Tiba ya kuzuia kubanja

Tiba ya kuzuia kubanja

RUGE12

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
19
Reaction score
0
habar,kwa muda mrefu sasa ninakumbwa na tatzo kubwa sana hususa la kukohoa zen kwa baaday naishia kubanja ovyo ovyo hii imekua haibu kwang na naomba ushaur wenu kuhusu tiba yake
 
Wakati ukisubiri madaktari waje hebu anza na chai ya tangawizi asubuhi na jioni mimi huwa inanisaidia sana (hasa nikiitafuna)
 
Nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Ambroxy ni dawa ya kimiminika, bei zake sio zaidi ya 6,000 TZS.
 
Kapime kwanza afya yako ya mapafu kujiridhisha kuwa hauna matatizo makubwa ikiwemo TB halafu utapata ushauri mzuri sana wa madaktari.
 
Nenda pharmacy nunua dawa inaitwa Ambroxy ni dawa ya kimiminika, bei zake sio zaidi ya 6,000 TZS.

Mm pia nina mda sasa kama miez kadhaa sikohoi bali nakua nasikia makozi kwenye koo then najikohoresha natema kohoz daaah hadi nakosa aman ngoja nijaribu dawa hiii
 
Back
Top Bottom