Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
"...Nina maradhi gani na katiba..?" Alilalama aliyepata maradhi...! Na nadhani maradhi yake ni haya
Alikuwa makamu mwenyekiti wake katika hilo bunge la katiba iliyoleta maradhi. Kwa ushirikiano wao wakaondoa maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoongozwa na Jaji Warioba. JK akaponda na hata kumponda mwenyekiti wake. Kijana mdogo kabisa Bashite akamkata ngwara na kuzawadiwa cheo cha ukuu wa wilaya Kinondoni. Wakaja na maoni ya chama fulani badala ya yale maoni ya wananchi. Othman Masoud Othman Sharrif akaadhibiwa kwa kuporwa cheo kwakuwa tu na mtazamo tofauti na chama fulani
Mpaka hapo lazima upate maradhi...Tena makubwa tuu...!!!
Sasa ni ipi tiba ya maradhi kama hayo?
Haya ni maoni yangu na nitaheshimu yeyote mwenye maoni tofauti na haya pasipo kubeza au kudharau au kukejeli..Heshima kwanza kwa utu wa mtu hata kama ana maoni tofauti au mtazamo tofauti.
Nawasalimu katika jina la Jamhuri...
Credit kwako Gwappo Mwakatobe

- Kwanza ni toba!
- Pili ni katiba mpya yenye maoni ya wananchi wote, bila kujali chama fulani
- Humo iwemo tume huru, wagombea huru, Zanzibar huru, Tanganyika huru nknk