Tiba ya maumivu ya kiuno kwa mtoto wa kike

Elly ceejr

Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
51
Reaction score
17
Habar za jion wapendwa
Niend moja kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyojieleza mim ni binti wa miaka 20 nimepatwa na ili tatizo la kuumwa kiuno awali nilipima nakugundulika kuwa nina PID nikapewa dawa ambazo nimekunywa week 3 lakin kiuno kinaniuma mno , nimekuja apa niombe msaada nifanyaje ili aya maumivu yapone au nitumie dawa gani?
 
binti wa miaka 20.........
 
Pole dada,,Unafanya shughuli za kusimama/kukaa kwa muda mrefu? Ulishawahi kupata ajali? Vipimo gani ulivyowahi kufanyiwa
 
PID = Pelvic Inflammatory Diseases

Rudi tena hospital kamuone Gynaecologist kwa matibabu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…