Tiba ya maumivu ya miguu (feet)

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032
Naomba ushauri kwenu wataalamu wa masuala ya tiba. Nina ndugu yangu mwanamke ambaye amekuwa na matatizo ya kuumwa na miguu (feet) kwa muda mrefu sasa. Tatizo hili lilianza mara baada ya kujifungua miaka 11 iliyopita. Huwa anasema maumivu huwa makali zaidi anapokuwa ametembea kwa muda mrefu au kunapokuwa na baridi.Anasema kuwa wakati mwingine maumivu yake huwa kama ya kuungua na moto. Amejaribu kutafuta tiba sehemu mbalimbali, ikiwemo Hospitali ya taifa ya Muhimbili; lakini tatizo bado linaendelea. Huwa anapata nafuu ya muda tu.

Kwa yeyote anayefahamu tiba ya tatizo hili au hata kumfahamu mtaalamu wa tatizo hili tafadhali naomba anifahamishe ili mama huyu aweze kupata tiba ya kudumu.
 
Nina dawa nzurisana ya asili inayotibu na kuondoa tatzo hilo,kama unaitaji ntafute:0759217720
 
Hili nitatizo linalotokana na upungufu wa madini na virutubisho mbalimba ndani ya mwili.Ni tatizo la kawaida kwa wanamwake hasa walikwisha zaa na hasa wazee.waweza nitafuta nikuelekeze namna ya kutatua tatizo hili +255 689 417 472
 
Kwa wenye matatizo ya magoti
 

Attachments

  • 1398432095049.jpg
    46.9 KB · Views: 286
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…