Tiba ya maziwa kiroho

Tiba ya maziwa kiroho

Samahani yatazuia vipi?? Ukiniambia yatachelewesha nitakuelewa lakini siyo kuzuia.
Ngoja nikupe mfano

Ukinywa antibiotics dawa kama vile ampiclox kisha ukanywa maziwa hizo dawa hazitaingia ktk mzunguko wa damu sababu maziwa ni organic solvent ita coat drug molecules zote absorption haitafanyika

Ila ukinywa maziwa na dawa mseto absorption itafanyika kwa haraka sababu mseto na maziwa vyote ni organic

Yaani ni sawa na konyaginna nyama ya mafuta

Chai na nyama ya mafuta

Uyeyushaji utakuaje?


Halafu mkuu haya maelezo sio sehu ya uzi ntaishiabhapa

Ahsante
 
Back
Top Bottom