Tiba ya mke kutohisi raha ya tendo la ndoa

Tiba ya mke kutohisi raha ya tendo la ndoa

mshihiri

Senior Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
138
Reaction score
89
BAADHI YA WANAWAKE HUHISI MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU WENGINE KUTOHISI RAHA KABISA AU KUTOTOKA UTE AU KUCHELEWA KUTOKA UTE AU KUTOFIKA KILELENI WOTE WATATIBIWA KWA DAWA HII

a)maziwa ya ngombe glasi moja
b)vijiko vitatu vya asali safi
c)mayai mabichi ya kuku wa kienyeji
changanya na ukoroge kisha kunywa kila siku asubuhi kabla hujala kitu na wakati wa jioni tumia kwa muda wa siku 7 mfululizo
​
 
Back
Top Bottom