Mkuu, TUMIA JUICE YA KAROTI NDIYO SABUNI YA MAPAFU.Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.
JUICE YA KAROTI mkuu, pata maelekezo hapo juuNa mm ningependa kufahamu hlo coz na mm pia nimeacha.
Mkuu, TUMIA JUICE YA KAROTI NDIYO SABUNI YA MAPAFU.
Kila siku asubuhi na jioni kwa wiki kadhaa,saga karoti(na maganda yake) ktk brenda(yanayotosha kutengeneza juice) unywe glasi moja,kwa siku mara mbili
Asante sana mkuu,nitamtengenezea hiyo juiceMkuu, TUMIA JUICE YA KAROTI NDIYO SABUNI YA MAPAFU.
Kila siku asubuhi na jioni kwa wiki kadhaa,saga karoti(na maganda yake) ktk brenda(yanayotosha kutengeneza juice) unywe glasi moja,kwa siku mara mbili
caroti inachagiza ufubazaji wa sumu ktk mapafu(stimulates lung detoxification) pia inahusika kuweka damu ktk hali ya alkali(blood alkalization) ambayo pia ni mhimu ktk zoezi hili la kusafisha mapafuNimevutiwa na hii 'sabuni'..naomba ueleze utendaji wake tafadhali...
Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.
Na mm ningependa kufahamu hlo coz na mm pia nimeacha.