Tiba ya MTU alieacha kutumia marijuana

Tiba ya MTU alieacha kutumia marijuana

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.
 
Na mm ningependa kufahamu hlo coz na mm pia nimeacha.
 
Mkuu, TUMIA JUICE YA KAROTI NDIYO SABUNI YA MAPAFU.

Kila siku asubuhi na jioni kwa wiki kadhaa,saga karoti(na maganda yake) ktk brenda(yanayotosha kutengeneza juice) unywe glasi moja,kwa siku mara mbili
 
Nimevutiwa na hii 'sabuni'..naomba ueleze utendaji wake tafadhali...
 
Asante sana mkuu,nitamtengenezea hiyo juice
 
Nimevutiwa na hii 'sabuni'..naomba ueleze utendaji wake tafadhali...
caroti inachagiza ufubazaji wa sumu ktk mapafu(stimulates lung detoxification) pia inahusika kuweka damu ktk hali ya alkali(blood alkalization) ambayo pia ni mhimu ktk zoezi hili la kusafisha mapafu
 
Assalaam alekhum wadau,nna mdogo Wang katumia sana tumbaku kubwa,sasa kaacha,swali je dawa gan atumie ili atoe sumu ya kilevi hicho,msaada wenu tafazal.

Ni wewe mkuu na wala sio mdogo wako.

Na mm ningependa kufahamu hlo coz na mm pia nimeacha.

Bora ww umekuwa muwazi mkuu. Huyo jamaa hapo juu anamsingizia mdogo wake.
 
Back
Top Bottom