Tiba ya mwiba

Tiba ya mwiba

dadi5

Senior Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
104
Reaction score
218
Habari wadau, naomba kufahamu mtu anayejua tiba ya mwiba, mzazi wangu amejichoma nao leo siku ya tatu maumivu yanazidi. YOYOTE MWENYE KUFAHAMU TIBA NAOMBA MSAADA
e2d518b1d5b3e4a677d87833a133f78a.jpg
 
Mkuu Kwa Hali ninayoiona nakusihi acha kusubiri comments humu ndani cha muhimu wahi kituo cha afya
 
Hospital tumeenda still no mabadiliko
 
Kama kuna possibility ya kupata tiba ya asili hospital tumeshaenda
 
Kama kuna possibility ya kupata tiba ya asili hospital tumeshaenda
Mkuu ukichomwa mwiba halafu ukavimba hivyo ujue linataka kuzaliwa jipu!..hilo tayari ni jipu lazima dawa ya asili unayosema ya kulizuia,pia kuzuia kuvimba najua aina mbili ila ni majani mabichi unayoponda na kupakaa apone!

Uko wapi?
 
Mimi niko dar mgonjwa yupo mtwara
 
Mimi niko dar mgonjwa yupo mtwara
Aisee!, umbali kikwazo mkuu, maana ni majani mabichi ya kuchuma kila siku nami naishi dom,mimea yenyewe hawezi kuipata huko
 
Alijichoma mwiba wa mti gani?
Kama ni mchongoma una tabia hiyo ya kusababisha mguu kuvimba. Dawa achemshe mafuta ya kupikia halafu ayapake hapo kwenye jeraha kwa kutumia nyoya ya kuku yakiwa ya moto.
 
Alijichoma mwiba wa mti gani?
Kama ni mchongoma una tabia hiyo ya kusababisha mguu kuvimba. Dawa achemshe mafuta ya kupikia halafu ayapake hapo kwenye jeraha kwa kutumia nyoya ya kuku yakiwa ya moto.
Asante mkuu nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom