Ni kweli tatizo la ngozi limekusugu sana. Binafsi ninasumbuliwa sana na mba kwenye ngozi(Utangotango) mgongoni na mikononi, Je tiba yake ni nin, hauwashi na wala siwezi kumwambukiza mtu, maana nina mtoto mdogo nahisi angeshakuwa amepata, nimefanya utafiti kiasi nimegundua kuna lotion inaitwa Bio nikitumia hii ndio balaa, nimeacha kutumia, Je nitumie dawa gani ili tatizo hili liishe. Nitashukuru endapo utanifahamisha. Ahsante Sana