tiba ya ngozi.

tiba ya ngozi.

amon jason

Senior Member
Joined
May 13, 2013
Posts
125
Reaction score
4
tatizo la ngozi limekuwa tatizo sana kwa jamii zetu za kitanzania. hii ni kutokana labda ni asilia. vyakula. jua au kemikali mbalimbali za vipodozi.

hii isikupe shida kwani nipo kukuhudumia kwa tatizo lako la ngozi.

0713507487. 0767507487, 0782898210
 
tiba ya ngozi
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1368906337096.jpg
    uploadfromtaptalk1368906337096.jpg
    71.6 KB · Views: 123
Ni kweli tatizo la ngozi limekusugu sana. Binafsi ninasumbuliwa sana na mba kwenye ngozi(Utangotango) mgongoni na mikononi, Je tiba yake ni nin, hauwashi na wala siwezi kumwambukiza mtu, maana nina mtoto mdogo nahisi angeshakuwa amepata, nimefanya utafiti kiasi nimegundua kuna lotion inaitwa Bio nikitumia hii ndio balaa, nimeacha kutumia, Je nitumie dawa gani ili tatizo hili liishe. Nitashukuru endapo utanifahamisha. Ahsante Sana
 
Back
Top Bottom