Hongereni kwa kufanikisha hili. Huyu mtalaam anapatikana Tanga sehemu ganiBabu yetu aliumwa tezi dume sasa kutokana na umri daktari akashauri asifanyiwe upasuaji, tukampata mganga toka Tanga tukamleta Moro kumtibia babu...
Mkuu, kwa manufaa ya watu wote, kuonana PM hakufai. weka mambo hapa. NHii tiba bila upasuaji ipo na mgonjwa anapona kabisa. Kwa anayehitaji tuonane PM
mpaka wakufuate PMπDawa zipo na utapona kabisa bila hata ya kuhitaji upasuaji
Fungua PM yako mkuu kama kweli una hii dawa. Utasaidia wengi maana operesheni kama aliyofanya JK ni very risky kwa sababu kakosa kadogo tu mtambo mzima wa nyuklia unaweza usifanye kazi permanently not to mention incontinence na matatizo mengine kibao.Dawa zipo na utapona kabisa bila hata ya kuhitaji upasuaji
PM imeshafunguliwaFungua PM yako mkuu kama kweli una hii dawa. Utasaidia wengi maana operesheni kama aliyofanya JK ni very risky kwa sababu kakosa kadogo tu mtambo mzima wa nyuklia unaweza usifanye kazi permanently not to mention incontinence na matatizo mengine kibao.
Wakuu naomba kuelewa kwa yeyote anayejua au kushudia matibabu ya Tezi dume bila upasuaji na mgongwa kupona kabisa na hayo matibabu yanapatikana wapi?
Nitafurahi zaidi kupata taarifa za matibabu ya kisayansi kwa maana ya yanaweza kuwa wanatumia aidha dawa za asili au dawa mbadala au dawa za hospitali lakini matokeo yake yamethibitishwa kisayansi.
Natanguliza shukurani
Pia kuna aina mbalimbali za dawa zinazotumika kutibu matatizo ya tezi dume, kulingana na aina ya tatizo na kiwango cha ugonjwa. Baadhi ya dawa hizo ni pamoja na:
1. Alfa-bloka: Hizi ni dawa zinazofanya kazi kwa kupunguza shinikizo katika kibofu cha mkojo na kupunguza dalili kama vile kukojoa mara kwa mara. Mfano wa dawa hizi ni tamsulosin na alfuzosin.
2. Inhibitors ya 5-alpha reductase: Dawa hizi hufanya kazi kwa kuzuia homoni ya dihydrotestosterone (DHT) ambayo husababisha ukuaji wa tezi dume. Mfano wa dawa hizi ni finasteride na dutasteride.
3. Antibiotics: Antibiotics hutumika kutibu ugonjwa wa tezi dume unaosababishwa na maambukizi. Mfano wa antibiotics ni ciprofloxacin na trimethoprim-sulfamethoxazole.
4. Anti-inflammatory: Dawa hizi hutumika kupunguza uvimbe na maumivu katika tezi dume. Mfano wa dawa hizi ni ibuprofen na naproxen.
Ni muhimu kuzingatia kwamba matumizi ya dawa yoyote lazima yaelekezwe na daktari wako kwani kuna madhara na athari za kiafya zinazoweza kujitokeza.
Mkuu, toa ushauri ni ipi inayoponyeshaKumbuka hiz dawa ulizozitaja zinaondoa dalili ya ugonjwa ila hazijawahi kumtibu mtu yeyote akapona