Tiba ya unene

Tiba ya unene

gemplatnumz

Senior Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
133
Reaction score
371
Ukiachana na kupekua simu ya mpenzi wako
Ni jambo gani linaweza pia kupunguza unene haraka?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Wanaume mpunguze ukali kwa wake zenu ipo siku mtalia kama rafiki yangu huyu, yaliyomkuta ni kiboko
Jamaaa alikuwa mkali sana kwa mkewe kiasi kwamba kosa dogo anafoka .Na kutoa maneno hata some time kumpiga.
Jamaa juzi kaumwa sana kupelekwa hospital akaambiwa akalete mkojo wa asubuhi asubuhi ili wajue anaumwa na nini.
Jamaa asubuhi na mapema kachukua mkojo wake vizuri kauweka kwenye kichupa cha hospitali alichopewa.
Akauacha juu ya kabati, ili ajiandae kuvaa na kwenda hospitali.
Bahati mbaya mkewe kupanga panga vitu kichupa kikadondoka mkojo ukamwagika wote.
Kwa kuogopa kipigo faster mkewe kachukua kile kichupa akatia mkojo wake akakirudishia pale, then Akauchuna kimya.
Jamaa kupeleka hospitali majibu yakatoka kuwa ana U.T.I na mimba ya miezi mitatu.
Sasa jamaa anahisi karogwa kumbe kajiroga mwenyewe.
Hivi yuko njiani kuelekea sumbawanga kumtafuta mchawi wake.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom