Tiba ya upungufu wa nguvu za kiume.

Nilitumia lakini haikunisaidia kwa mimi binafsi brother.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu nguvu za kiume za kazi gani?
 
*DALILI ZA MTU ALIYE PUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME* .contact +255717330462
Mwanaume aliyepungukiwa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo.
1. Uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto
2. Uume kurudi ndani
3. Uume kusimama ukiwa legelege
4. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.
5. Kushindwa kurudia raundi nyingine kwa uharaka baada ya raundi ya kwanza.
6.Kukosa hamu ya tendo la ndoa

Karibu ujipatie dawa kwa ajili ya kumaliza tatizo lako.
Tiba hii hufanya mambo yafuatayo:-
A) Kuimarisha mishipa na misuli ya uume ulio
legea na hivyo kuurejeshea uwezo wake wa asili
B) Hutibu tatizo la uume kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto mdogo
C) Humaliza tatizo la kusimama kwa uume
ukiwa legelege
D) Hutibu na kuponya kabisa tatizo la kufika
kieleleni haraka.
E) Huongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa unapomaliza raundi ya kwanza.
F)Pia zipo dawa kwa ajili ya kurefush na kunenepesha uume size uitakayo

Kama una tatizo hilo wasiliana nasi sasa kwa WhatsApp/calls +255717330462 ili upate tiba hii ya ukweli na uhakika iliyokwisha saidia wengi wenye tatizo hili.

NB: Usikae kimya ndugu kwa matatizo ambayo yanatibika.
Karibu uondoe stress,fedheha na aibu hiyo ya kudharirika mbele ya mke/mpenzi wako.

Tunatuma mahala popote ulipo
 
Tumia tangawizi kwa wingi.. nilisikiaga pia inaongeza hio makitu



cc Smart911
Na mdalasini plus kupenda kunywa kila siku na asali badala ya sukari ila asikate tamaa maana inachukua muda mrefu. Kikubwa pia kuwa na demu mvumilifu na asimwogope hata kama anacheza chini ya kiwango. (mwisho ataizoea K tu na kiwango kinaongezeka)
 

Hauna physical problem trust me, tatizo lako ni psychological nenda upate ushaur halaf jiamin kuwa unaweza utashangaa matokeo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hauna physical problem trust me, tatizo lako ni psychological nenda upate ushaur halaf jiamin kuwa unaweza utashangaa matokeo


Sent from my iPhone using JamiiForums
Utaliwa pesa zako mpaka utie akili HAKUNA DAWA HIZO


KULA CHAKULA KIZURI PIA FANYA MAZOEZI NA UPATE MUDA WA KUPUMZIKA
Nyie jamaa DullyJr na uchungu ndo mmempa ushauri wa kweli huyu mdau....dawa kubwa ya kwanza ni kujiamini alafu misosi inafuata...kikubwa asiogope aibu yaani kama ana mpenzi wake hata kama atacheza chini ya kiwango asiogope na siku nyingine aombe game kama kawaida (wengi unakuta akisuuza leo rungu alafu akacheza chini ya kiwango anamkimbia demu anakuja kukutana nae tena baada ya wiki 2)
 
Pole sana mkuu. Endapo utakuwa hujapata dawa nitafute mwezi wa tatu nitakuelekeza pa kuponea. Ni maeneo ya Mwanza kule hivyo jiandae nauli na ukishamaliza kuonana na huyo mtu basi ataendelea kukutumia dawa popote pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…