Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitumia lakini haikunisaidia kwa mimi binafsi brother.[emoji267] *UNGA WA LUBUNG'WA* [emoji267]
[emoji891][emoji263]NI MUJARABU KWA MATATIZO HAYA[emoji116][emoji263][emoji891]
[emoji117]1-Kuongeza mbegu za kiume
[emoji117]2-kushindwa kurejea tendo baada ya mshindo wa kwanza
[emoji117]3-kuwahi kufika kileleni
[emoji117]4-Walioathirika na punyeto (inamrudisha kwenye hali ya mwanzo)
[emoji117]5-Kuimarisha misuli ya uume
[emoji117]6-Mwanamke asiyekuwa na hamu ya tendo la ndoa
[emoji117]7-Kiuno
[emoji117]8-Vichomi
[emoji117]9-Chango
[emoji117]10-Tumbo kuuma
[emoji269][emoji263]MATUMIZI [emoji263][emoji269]
Chukua unga wake nusu kijiko cha chai kwenye maji moto kikombe kimoja x mbili kwa siku tumia siku 7 tu inaanza kufanya kazi baada ya masaa manne na haina madhara yoyote kwa mtumiaji pia ni tiba ya kudumu
[emoji1018]Kwa ushauri na tiba fika SIRAAJUL MUNIYRI DUKA LA DAWA LILILOPO
MAKUMBUSHO DAR
+255 655 821 550
Sulayman Sangida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe huna mke, unazini tu ungekuwa umeoa ningekwambia dawa
"Kula vizuri" au kula chakula kizuri?Dawa ya upungufu wa nguvu za kiume ni kuacha kujichua, kufanya mazoezi na kula vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
*DALILI ZA MTU ALIYE PUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME* .contact +255717330462Habari ya muda huu.Rejea kicha cha habari hapo juu,ni kwamba nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sana(karibia miaka 15)na hii imesababishwa na tabia ya kujichua kwa muda mrefu sana.
Baadhi ya athari nilizopata kutokana na kujichua.
(1) Uume kutosimama vizuri wakati wa tendo la ndoa,pamoja na kutosimama kabisa muda wa asubuhi.
(2) Kuwahi kumaliza mapema wakati wa tendo la ndoa.
Nimetumia dawa nyingi sana za mitishamba bila mafanikio yoyote,hivyo kwa yoyote anayefahamu dawa inayoweza kunitibu naomba tufanye mawasiliano kupitia PM.(Jamii Forums) au mawasiliano yoyote atakayopenda.
Natanguliza shukrani sana kwa yoyote mwenye nia njema ya kutatua tatizo zangu.
N:B.Samahani kwa makosa ya uhandishi maana sio mwandishi mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mdalasini plus kupenda kunywa kila siku na asali badala ya sukari ila asikate tamaa maana inachukua muda mrefu. Kikubwa pia kuwa na demu mvumilifu na asimwogope hata kama anacheza chini ya kiwango. (mwisho ataizoea K tu na kiwango kinaongezeka)
MwarobainiSIJAWAHI KUAMINI DAWA MOJA INAYOTIBU MAGONJWA 10
Habari ya muda huu.Rejea kicha cha habari hapo juu,ni kwamba nina tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu sana(karibia miaka 15)na hii imesababishwa na tabia ya kujichua kwa muda mrefu sana.
Baadhi ya athari nilizopata kutokana na kujichua.
(1) Uume kutosimama vizuri wakati wa tendo la ndoa,pamoja na kutosimama kabisa muda wa asubuhi.
(2) Kuwahi kumaliza mapema wakati wa tendo la ndoa.
Nimetumia dawa nyingi sana za mitishamba bila mafanikio yoyote,hivyo kwa yoyote anayefahamu dawa inayoweza kunitibu naomba tufanye mawasiliano kupitia PM.(Jamii Forums) au mawasiliano yoyote atakayopenda.
Natanguliza shukrani sana kwa yoyote mwenye nia njema ya kutatua tatizo zangu.
N:B.Samahani kwa makosa ya uhandishi maana sio mwandishi mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna physical problem trust me, tatizo lako ni psychological nenda upate ushaur halaf jiamin kuwa unaweza utashangaa matokeo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nyie jamaa DullyJr na uchungu ndo mmempa ushauri wa kweli huyu mdau....dawa kubwa ya kwanza ni kujiamini alafu misosi inafuata...kikubwa asiogope aibu yaani kama ana mpenzi wake hata kama atacheza chini ya kiwango asiogope na siku nyingine aombe game kama kawaida (wengi unakuta akisuuza leo rungu alafu akacheza chini ya kiwango anamkimbia demu anakuja kukutana nae tena baada ya wiki 2)Utaliwa pesa zako mpaka utie akili HAKUNA DAWA HIZO
KULA CHAKULA KIZURI PIA FANYA MAZOEZI NA UPATE MUDA WA KUPUMZIKA
Suala la uume kutosimama asubuhi ni psychological problem?Hauna physical problem trust me, tatizo lako ni psychological nenda upate ushaur halaf jiamin kuwa unaweza utashangaa matokeo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ni lazima niende Mwanza?Siwezi kupata mawasiliano yake kwa sasa?Pole sana mkuu. Endapo utakuwa hujapata dawa nitafute mwezi wa tatu nitakuelekeza pa kuponea. Ni maeneo ya Mwanza kule hivyo jiandae nauli na ukishamaliza kuonana na huyo mtu basi ataendelea kukutumia dawa popote pale.
Mzee baba piga tz la angalau dk 30 halafu njoo hapa