Mwaendeleaje na hali?
Kuna vipele vigumu na wakati mwingine huwa vidogo vidogo huota pembeni mwa lips au kuzunguka lips na ukijaribu kuvi binya huwa na maumivu makali kidogo.
Kuna treatment/ tiba ya hivi vipele? Au kuna sehemu zinazo tumbua vipele hivyo kitaalamu kabisa?
Nawasilisha!