Tiba ya vipele vigumu pembezoni mwa lips za mdomo

Tiba ya vipele vigumu pembezoni mwa lips za mdomo

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Mwaendeleaje na hali?

Kuna vipele vigumu na wakati mwingine huwa vidogo vidogo huota pembeni mwa lips au kuzunguka lips na ukijaribu kuvi binya huwa na maumivu makali kidogo.

Kuna treatment/ tiba ya hivi vipele? Au kuna sehemu zinazo tumbua vipele hivyo kitaalamu kabisa?

Nawasilisha!
 
Back
Top Bottom