Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
madin matupu aya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vzr mnooHabari kaka, naona Habbat Sawda na Mdalasini vyote kama vinaenda sawa na Asali, kwako kipi ni the best unachorecommend? Kwa upande wangu napenda sana mchanganyiko kama ni Unga tu nichanganye na Asali nilambe au kula basi, ikishakuwa kuchemsha sijui kupasha moto napataga shida. Nina tabia ya Kula kijiko cha asali kila nikiamka na nikitaka kulala, nimejikuta tu napendelea kufanya ivyo bila kujua nnachokitibu haswa! Now nataka add btn Mdalasini na Habbat Sawda Natanguliza Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu ya giza inakuwaje?Ivi unataka kuniambia hiyo mimea inatumika yenyewe tu bila uwepo wa nguvu yoyote ya kiza?
1. Hiyo namba moja ni sahihi kabisa isipokuwa kwa wenye mzio na wenye vidonda vya tumbo pia.. Ni tiba bora sana kwa lehemu kwenye mishipa na mafuta yaliyozidi mwiliniHabari Mkuu Maxence Melo na wadau wote mulikwisha kuchangia hii mada. Hii mada ni ya zaidi ya miaka Tisa (9) LAKINI bado ipo "Relevant" hadi leo. Nina maswali mawili
Ahsante
- Nimesikia baadhi ya watu wakishauri unywaji wa maji yenye Mchanganyiko wa Limao + Asali kila asubuhi kwa afya. Kuna faida zozote au athari za kutumia huo mchanganyiko kila asubuhi?
- Nimesikia mara nyingi tukisisitizwa kunywa maji alau Litre mbili kwa siku ILA wiki jana nimemsikia kwenye radio Daktari akisisiza kwamba sio kila aina ya maji yana faida mwili bali yenye PH zaidi ya 7 maana yake "Alkaline water". Je kuna ukweli kwenye hili? Je kwenye aina za maji yanayouzwa hapa Tanzania tuna ambayo yana PH zaidi ya 7?
Maji ya PH 7 yanapatikana wapi ?1. Hiyo namba moja ni sahihi kabisa isipokuwa kwa wenye mzio na wenye vidonda vya tumbo pia.. Ni tiba bora sana kwa lehemu kwenye mishipa na mafuta yaliyozidi mwilini
2. Kwa maji yetu haya ya viwandani ni vyema kupata maji yenye PH 7+
Hiyo ni water composition
Mkuu jitahidi sana sana uwe unakula karoti mbichi. Yaani uwe unatafuna karoti mara kwa marahabari wakuu
kupitia uzi huunaomba msaada wenu.. tatizo la macho linakua sugu kwangu..
tangu mwaka 2013 nimekua nikitumia miwani ya macho, nilianza na lens ya -0.75, tatizo limekua likiongezeka kila mwaka..
jana animeenda kupima nimekuta limeongezeka hadi kufikia -7.5
massada tafadhari anayejua tiba ya tatizo hili
Tunachotaka ni kupiga magoli zaidi ya moja, inachukua dakika ngapi mashine isimame tena baada ya goli la kwanza? Wanawake wenyewe wanataka uende nao muda mrefu hadi waseme basi imetosha, hawataki muda mfupi