Tiba!!!!

Tiba!!!!

Aisee....Asalam alaikum maalim!!
waalaykum salaam bibie kipenzi hujambo lakini? nipe salam kwenye what's Up nione namba yako maana nimeweka What's UP Mpya kwenye Computer yangu sijaiona namba yako nisalimie kwenye hiyo What's Up yako na Viber yako ili nipate kuku Add ukiweza fanya.
 
shida ni kwamba anaweza chelewa mpaka ikalala bila mumewe kufika kileleni naona anamaanisha hivo kama sijakosea.

duuuuuuuuuuu,anamtia hamasa isilale,au ndio akijitegesha tu ka gogo huku akimuachia mwenzie akukuruke??
 
kuwahi kufika shida kuchelewa kufika majanga! Dah maisha haya hayaishi maajabu
 
Eti nilisikia pia ukiweka majani ya ganja inakuwa tamu sana!Je kuna ukweli??
CC:Mtimkavu
 
Jaribu kutumia staili mbali mbali wakati wa kujamiiana, kwa vile uke wako ni mpana basi tumia staili ambazo zinabana uume wake kama spooning au cross legs missionary nk, wakati mwingine tumia misuli ya uke wako kumbana mumeo wakati anaingiza uume.

Suala la uke kuwa wa baridi lina utata, joto katika mwili husambazwa na damu je uke wako hauna damu?
Na nnajua wanawake weusi wanajoto sana, wewe unaposema ukewako hauna joto ckuelewi vzuri.
 
Mkuu mzizi mkavu ni kweli misk inasaidia coz ina joto joto so ukiweka inakua Poa.

Maji yalochemshwa na karafuu pia, unachambia kwa bimku kabla ya kusex nayo pia yanasaidia kuleta jotojoto.

Asali na bangi pia nayo dawa ya kuzidisha utam, au hata asali tupu pia inafaa.
 
Back
Top Bottom