Tibaijuka Kumvaa Masilingi?


- Hayo ni matatizo yako sio yangu, sikuweka jina la source lakini nimeiweka kwenye quote, aliyetoa habari ni rafiki yangu asiyependa jina lake kurushwa ruhswa hapa JF, na hii sio habari ya kwanza ninaileta hapa kutoka kwake na sio kutoka huko unakosema, hutaki nenda topic nyingine, unataka jadili hoja mengine ni pure nonsense na ni waste of my time na ya wengine humu JF.

- Shule niliyosoma na uliyosoma ni non ishu maana wote yaani mimi na wewe tunatawaliwa na CCM mpaka mwisho wa dunia yako na yangu!
na wala sihitaji kubishana sana kwamba kati yangu na wewe nani amesoma miembeni maana ukweli unajisema wenyewe, Bwa! ha! ha! ni kawaida yako kuhangaika hangaika!

Es!
 

- Mama Migiro, alikuwa msomi, akawa mbunge, akawa waziri wa jamhuri, na sasa ni kiongozi wa dunia na infact ni bosi wa Tibaijuka huko UN, sasa kuendelea kubishana on uwezo wao ni yale yale ya Yanga na Simba na ndio longo longo hasa supposedly unalolikataa, inasikitisha sana!

Respect.


FMEs!
 

- Umkubali au usimkubali Mama Migiro, aliwahi kuwa mbunge, akawa waziri na sasa ni bosi wa Tibaijuka huko UN, hizi ni facts, yaani Mama Migiro ni zaidi kuliko Tibaijuka, mengine ni kipenda roho kula nyama mbichi.

Respect.


FMEs!
 
Me ningemshauri aachane kabisa na siasa za wabongo bora akae ktk kazi yake ya maana, hii ya mjengoni ni wizi mtupu. Kuwatumikia wananchi si lazima uwe mbunge bwana. Halafu kama ndo kupitia chama chao mafisadi bora kuacha kabisa!
 
Masanja,
'Well said.


Mkuu heshima mbele,

Kaka yangu FMES anadhani kwamba kuna wanaompinga mama Roza Migiro au wana undermine mafanikio yake. I for one I am not, I deeply respect her since akiwa mwalimu wa TORT pale mlimani! Only I am against people distorting records za mtu mwingine vompetent kama mama Tibaijuka on unfounded grounds.

Ultimately what we should all know, as long as we are in Tanzania and not in Somalia, whether it is Migiro, Tibaijuka, Mwanakijiji, Nchimbi, Malim Seif Sharif Hamad or anybody else..it will depend on WE the people, tunaopanga foleni kupiga kura! So, lets hold our heads up high.

Further, we should also know kwamba tukiona watu wanauliza maswali mengi kuhusu Migiro au Tibaijuka ndo deliberative process ya demokrasia yenyewe. We should be happy for that as a country. Mtu akitaka ku-hold public office..she must EARN that TRUST. Tulipoambiwa na maaskofu wetu kwamba Jakaya alikuwa ni Chaguo la MUNGU tumeyaona wenyewe. So we really need to have a critical discussion on whomever wants to run for public office for the greater good of our country and its people.

Masanja.
 
Hah hah atagombea kupitia BAWATA bana sijui sasa Tiba ndio yuko CCM baada ya hapo awali kushukiwa kama mwewe na serikali kuwa BAWATA inafanya shughuli za kisiasa kwa hiyo ifutiliwe mbali na ile kesi sijui imeishia wapi,karibu sana waitu ukubali kuwa tayari kufunuliwa siri zako za longi na akina mama mipasho kwenye dimba lao la UWT,huko utasiribwa weee utapakwa mitope weee mpaka utajuta kwa nini uliacha kazi yako UN,bongo hakuna wanasiasa bali kuna wapiga porojo na kwa mtu makini inabidi ukae mbali na siasa za bongo
 
my two cents:

Dr. Migiro interview
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=3RLUoqTytwA"]YouTube- Broadcast Yourself.[/ame]

Dr. Tibaijuka interview
[ame="http://www.youtube.com/watch?v=byvG34D9b44"]YouTube- Time for Real Questions, Guest: Anna Tibaijuka[/ame]
 

- Mkuu Masanja kama nilivyosema huko nyuma, ninapatwa na tatizo sana kuelewa hivi vipimo, maana kwa wenye akili nyingi sidhani kama hapa pana ishu, Mama Migiro alikuwa Mwalimu University, Mbunge wa taifa, Waziri wa Jamhuri na sasa ni bosi wa Tibaijuka huko UN,

- Sasa what is a beef hapa sielewi ni nini hasa na I though the topic ni tibaijuka kutaka ubunge, sasa imekuaje a ligi kati yake na Mama Migiro sielewi, mimi siamini kwamba hawa wawili wanaweza kuwekwa kwenye mzani mmoja no way? ni mto na bahari, Mama Migiro yuko juu sana, Tibaijuka ni mtu mdogo sana kwake kikazi Tibaijuka anahitaji appointment kumuona Migiro hawezi tu akakurupuka na kwenda kumuona, sasa tunawalinganishaje I do not get it!

- Ndio ninasema ni kipenda roho kula nyama mbichi!

Respect.


FMEs!
 

Mkuu Mchukia Fisadi,

You have said it all. Pamoja na matarajio ya wengi, huyu mama akienda kugombea kwa tiketi ya CCM we should not expect anything new.

Kuna member mmoja ameuliza lakini hakuna aliyetoa jibu. Je hiyo kazi yake huko UN anaiacha?

Tiba
 

mkuu, hakuna mwanamke yeyote Tanzania sasa mwenye accomplishments zenye uzito mkubwa kama za Mama Tibaijuka, hapa tunaongelea record at office. Tutabishana hapa mpaka kesho.


from UN-HABITAT web.

"......
Anna Tibaijuka is the first African woman elected by the UN General Assembly as Under-Secretary-General of a United Nations programme.

In July 2000 she was appointed by Secretary General, Kofi Annan as Assistant-Secretary-General and Executive Director of the former United Nations Centre for Human Settlements (UNCHS), the UN agency for the built-up environment and urban development headquartered in Nairobi, Kenya. She is credited with raising awareness about the global challenge of chaotic urbanization, inspiring a new strategic vision, and significantly enhancing the organization's performance, management and image. These efforts restored donor confidence and the overall credibility of the organization, resulting in its upgrading into a full-fledged United Nations Programme on Human Settlements (UN-HABITAT) by the General Assembly in December, 2001. She was in turn elected in December 2002 by the General Assembly as the first Executive Director of the new UN-HABITAT programme at the level of Under Secretary General.

Mrs. Tibaijuka joined the United Nations Conference on Trade and Development, UNCTAD, in Geneva, in 1998 as Director and Special Coordinator for the Least Developed, Land-locked and Island Developing Countries. She was in charge of capacity building in their trade negotiations in the World Trade Organization, and assisted LDCs, for the first time ever, to forge a coherent and united negotiating position for their special trade interests.

She has served as a Member of the Commission for Africa established by British Prime Minister Tony Blair which resulted in the cancellation of multilateral debt for several African countries by the G8 Summit in 2005 at Glen Eagles, Scotland.

In July 2005 the Secretary General appointed Mrs. Tibaijuka as his Special Envoy on Human Settlements Issues in Zimbabwe following massive evictions of the poor in urban areas.

She is currently a member of the World Health Organization Commission on the Social Determinants of Health, and is also a member of the Advisory Board of the Commission on the Legal Empowerment of the Poor, co-chaired by the former US Secretary of State, Ms. Madeleine Albright, and the Peruvian economist Hernando de Soto.

In its unanimous decision to re-elect Mrs. Tibaijuka for a second term as Executive Director of UN-HABITAT, the General Assembly noted her success in forging strategic partnerships with financial institutions for follow-up investment in housing and urban infrastructure. These include the UN-HABITAT $570 million agreement with the African Development Bank and $500 million agreement with the Asian Development Bank.

In 1996 she founded Barbro Johannson Girls' Education Trust (Joha Trust) that advocates for quality girls' education in Tanzania and Africa and operates a model secondary school for poor girls, mostly orphans.

She is winner of several awards including honorary Doctorate degrees conferred by:
the University of McGill in Canada
University College London
Herriot Watt in Scotland

She is a Foreign Member of the Royal Swedish Academy of Agriculture and Forestry and the International Center for Tropical Agriculture.
 
Mkuu Mchukia Fisadi,


Kuna member mmoja ameuliza lakini hakuna aliyetoa jibu. Je hiyo kazi yake huko UN anaiacha?

Tiba

Dr. Tibaijuka amekuwa mkuu wa UN-HABITAT tokea 2002. Office term huwa ni miaka minne, na alikuwa re-elected baada ya awamu yake ya kwanza. Kwahiyo mwaka huu 2010 term yake inaisha.

Dr. Tibaijuka anahitajika nyumbani katika nyadhifa yeyote ile. Ninauhakika ataleta mabadiliko fulani.
 
She should run for Presidency if has got resources.

She is better qualified than JK who if challenged, can easly fall apart.

katiba inamruhusu kugombea uraisi, lakini kwa maoni yangu naona bado kidogo. Tumpime kwanza huko kwenye ubunge na uwaziri.
 

Mkuu FMEs, naomba nitofautiane na wewe kidogo hapa. Nafasi ya Migiro ni ya kiasiasa zaidi na ile ya Mama Tibaijuka ni ya utendaji. Kimadaraka, Migiro ana madaraka makubwa kuliko Mama Tibaijuka. Ni kama nafasi ya waziri na katibu mkuu katika wizara. Wakati nafasi ya Waziri ni ya kisiasa na hautajiki kuwa na utaalamu wa wizara unayoiongoza wakati katibu katibu mkuu under normal circumstances anapashwa awe mtaalamu. Ndivyo walivyo Migiro na Mama Tibaijuka.

Tunaweza tukawa tunajaribu kulinganisha vyeo visivyolinganishika. Na wala siamini kwamba Migiro aliteuliwa kuwa msaidizi wa wa Ban kwa kigezo cha performamce records. Performance records zipi hizo?

Tiba
 

- Pole sana kaka, kama ni CV soma mwenyewe hapo, na one thing ni very clear Mama Migiro ni bosi wa Tibaijuka sasa hivi, kwa hiyo ndio maana ninasema ni kipenda roho tu lakini facts ziko wazi sana!

Respect.


FMEs!
 

Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni!

Kweli, what else should this woman prove kwamba she is an accomplished woman with impeccable credentials?

Hata Migiro she has accomplished in her own right and stand, but mama Tibaijuka...well, the record speaks volume than million words!

Masanja,
 
Record yake ni excellent, lakini umri wake umeenda sana ..
 

- Ahsante sana kaka kwa kukubali fact, Case Closed!

Respect.


FMEs!
 
Something serious must have happened on this river to change its course to Tibaijuka kumvaa Migiro.
This is JF! lest we change its identity to Home of Great Flip - Floppers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…