tibu nguvu za kiume kwa mazoezi maalum

tibu nguvu za kiume kwa mazoezi maalum

Milale

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
494
Reaction score
189
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya uume kuwa imara na kuwa na nguvu za asili.Kama utapenda tufamishane zaidi nipigie no 0714702720
 
Mkuu hii ilipaswa kua jukwaa la biashara.
 
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya uume kuwa imara na kuwa na nguvu za asili.Kama utapenda tufamishane zaidi nipigie no 0714702720

Watu wengine hovyo kabisa...huna watu unaowasiliana nao nini?habari za kuanza kutafutana na namba ili iweje...y usiweke maelezo ya jumla apa wataokuwa enterested zaidi na wasioelewa ndo uwawekee namba wakutafute?

Ukute ndo haya haya kegel excercise,jelqing afu tuanze kufuatana inbox kumbe huna jipya...yanini kupoteza muda kutafutana?

Ka unataka kufanya biashara na ayo mazoezi ambayo 100% hujayagundua wewe na hujagarimia chochote kwa iyo knowledge tutolee upuuzi wako apa peleka jukwaa la biashara
 
kwani hayo mazoezi ukiyaweka hapa yatakataa?
 
Huna maaana upigiwe simu ili iwaje. Amini hakuna ukijuacho.
 
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya uume kuwa imara na kuwa na nguvu za asili.Kama utapenda tufamishane zaidi nipigie no 0714702720

Kwenda huko!!
 
mkuu si uweke humu kwa faida ya wote
 
Mjini foleni joto. Upuuzi wa kutafutana wa nini Mimi Nipo keko nije tegeta VIP simu yako hsijaita siku nyingi nini ondoa upuuzi wako
 
Habar wanajf. Watu wengi wamekuwa wakisumbuka kutafuta dawa ya nguvu za kiume bila kujua kuwa chanzo nini, ila leo napenda niwaeleze kuwa"kuna mazoezi maalum ambayo ukiyafanya husaidia misuli ya uume kuwa imara na kuwa na nguvu za asili.Kama utapenda tufamishane zaidi nipigie no 0714702720

we tapeli kalime achana na huu ujinga ile haina mikono ya kunyanyua dumbel au barbel wala hai chezi yoga kaz yake nje ndani tu.
 
Watu wengine hovyo kabisa...huna watu unaowasiliana nao nini?habari za kuanza kutafutana na namba ili iweje...y usiweke maelezo ya jumla apa wataokuwa enterested zaidi na wasioelewa ndo uwawekee namba wakutafute?

Ukute ndo haya haya kegel excercise,jelqing afu tuanze kufuatana inbox kumbe huna jipya...yanini kupoteza muda kutafutana?

Ka unataka kufanya biashara na ayo mazoezi ambayo 100% hujayagundua wewe na hujagarimia chochote kwa iyo knowledge tutolee upuuzi wako apa peleka jukwaa la biashara

Yani kama ningeweza kukupa like zaid ya moja ningefanya hivyo. Watu madaktari na taaluma zao wanatoa ushauri na tiba mbadala bure, yeye anataka kufanya biashara hapa.:banghead:
 
Back
Top Bottom