Yani kama ningeweza kukupa like zaid ya moja ningefanya hivyo. Watu madaktari na taaluma zao wanatoa ushauri na tiba mbadala bure, yeye anataka kufanya biashara hapa.:banghead:
Basi ngoja nikupe like mimi mkuu...kuna watu wanataka kumess na mood za watu humu