Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Yeah but mazingira yako supportive kwa wazawa?kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC, imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Sad but huo ndio ukweli.Kipaumbele chetu kama chama na serikali ni kupambana na wenye mawazo tofauti na ya viongozi wa serikali
Mmh... 🤔[emoji115]Walipe kodi, kabla ya kuja!
Tutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisakuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC, imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Wawekezaji wanatekeleza ilani ya chama.kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC, imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.
Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Lazima tuwe na taratibu karibishi kwa wawekezaji.Tutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisa
Lakini kwa uhakika kabisa tunajua tatizo halisi liko wapi. Ni hadi pale Tanzania kama nchi itakataa maneno ya mtu mmoja hata awe na cheo gani ndio yawe sheria za nchi
Kwamba kwamba katiba, sera, sheria, kanuni na taratibu zote za nchi zinawekwa pembeni na zinakoma pale kiongozi huyo anapotoa kauli kwa jinsi anavyopenda yeye,hilo ndio tatizo
Hakuna mwekezaji makini atakae tia mguu hapo, tutaishia kupata wababaishaji, wapigaji na ma opportunists tu
Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.Kipaumbele chetu kama chama na serikali ni kupambana na wenye mawazo tofauti na ya viongozi wa serikali
Hiyo ndio solution ya kudumu mkuu.Lazima tuwe na taratibu karibishi kwa wawekezaji.
Prof Kabudi, nguli na guru wa sheriaAti mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.
Hii sheria imepita mkuu? Juzi Halima Mdee alikuwa anapambana kweli kujaribu kushawishi bunge lirekebishe baadhi ya vifungu but as usual wabunge wote wa CCM walikuwa wanampinga na kutaka mswaada ubaki kama ulivyo.Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.
Viongozi si wawekezaji, wao wako upande wa matumizi tu ya kodi, hawazalishi.
Sasa juzi sheria ya Arbitration imepitishwa Bungeni.
Ati mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.
Nategemea hili ndo litawakimbiza kabisa hata wale wachache waliokuwa na mawazo ya kuja Tanzania.
Time will tell.
Hapo kwenye wababaishaji....yaani siku iz naona Waturuki kibao hapa DarTutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisa
Lakini kwa uhakika kabisa tunajua tatizo halisi liko wapi. Ni hadi pale Tanzania kama nchi itakataa maneno ya mtu mmoja hata awe na cheo gani ndio yawe sheria za nchi
Kwamba kwamba katiba, sera, sheria, kanuni na taratibu zote za nchi zinawekwa pembeni na zinakoma pale kiongozi huyo anapotoa kauli kwa jinsi anavyopenda yeye,hilo ndio tatizo
Hakuna mwekezaji makini atakae tia mguu hapo, tutaishia kupata wababaishaji, wapigaji na ma opportunists tu
Usihamaki unatakiwa ulipe kodi kabla ya kufingua duka sasa ukikosa wateja na ulivyoweka dukani umevinunua na vati juu itakuaje?.Mmh... 🤔[emoji115]
Wanaunga mkono juhudi?Wawekezaji wanatekeleza ilani ya chama.