Tetesi: TIC imedorora, wawekezaji wayeyuka!

kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC, imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.

Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Yeah but mazingira yako supportive kwa wazawa?
Tatizo la hii nchi ni sera za uwekezaji zinabana sana.
 
kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC, imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita.

Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi, lakini wanaishia.
Tujitahidi Watanzania tuwekeze wenyewe.
Tutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisa

Lakini kwa uhakika kabisa tunajua tatizo halisi liko wapi. Ni hadi pale Tanzania kama nchi itakataa maneno ya mtu mmoja hata awe na cheo gani ndio yawe sheria za nchi

Kwamba kwamba katiba, sera, sheria, kanuni na taratibu zote za nchi zinawekwa pembeni na zinakoma pale kiongozi huyo anapotoa kauli kwa jinsi anavyopenda yeye,hilo ndio tatizo

Hakuna mwekezaji makini atakae tia mguu hapo, tutaishia kupata wababaishaji, wapigaji na ma opportunists tu
 
Lazima tuwe na taratibu karibishi kwa wawekezaji.
 
Kipaumbele chetu kama chama na serikali ni kupambana na wenye mawazo tofauti na ya viongozi wa serikali
Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.
Viongozi si wawekezaji, wao wako upande wa matumizi tu ya kodi, hawazalishi.

Sasa juzi sheria ya Arbitration imepitishwa Bungeni.
Ati mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.

Nategemea hili ndo litawakimbiza kabisa hata wale wachache waliokuwa na mawazo ya kuja Tanzania.
Time will tell.
 
Lazima tuwe na taratibu karibishi kwa wawekezaji.
Hiyo ndio solution ya kudumu mkuu.
Lakini leo anatokea mwekezaji wa kiwanda labda cha cement kaingia mkataba na serikali ya kuuziwa gesi kwa kiasi flani, kesho anatokea kiongozi wa kisiasa anauvunja huo mkataba mchana kweupee bila kufuata sheria kisa tu yeye ndio mwenye sauti ya mwisho na yupo juu ya sheria hawezi kuhojiwa wala kushtakiwa! Halafu tunailaumu TIC haileti wawekezaji!
 
kipaumbele cha awamu hii ni 'kuwakomesha' walizonazo, mwenyenazo akiwemo mwekezaji anaweza kufanywa chochote dakika yoyote ( in jiwe voice)
 
Huu ni msimamo hasi kwa uwekezaji.
Viongozi si wawekezaji, wao wako upande wa matumizi tu ya kodi, hawazalishi.

Sasa juzi sheria ya Arbitration imepitishwa Bungeni.
Ati mkikosana na muwekezaji itakuwa marufuku kwenda kukubaliana nje ya nchi(Arbitration), kwa taratibu za kimataifa.

Nategemea hili ndo litawakimbiza kabisa hata wale wachache waliokuwa na mawazo ya kuja Tanzania.
Time will tell.
Hii sheria imepita mkuu? Juzi Halima Mdee alikuwa anapambana kweli kujaribu kushawishi bunge lirekebishe baadhi ya vifungu but as usual wabunge wote wa CCM walikuwa wanampinga na kutaka mswaada ubaki kama ulivyo.
 
Tutaishia kuilaumu TIC na wanaweza wakatumbuliwa wakuu wake au hata Taasisi/kituo chenyewe kuvunjwa kabisa

Lakini kwa uhakika kabisa tunajua tatizo halisi liko wapi. Ni hadi pale Tanzania kama nchi itakataa maneno ya mtu mmoja hata awe na cheo gani ndio yawe sheria za nchi

Kwamba kwamba katiba, sera, sheria, kanuni na taratibu zote za nchi zinawekwa pembeni na zinakoma pale kiongozi huyo anapotoa kauli kwa jinsi anavyopenda yeye,hilo ndio tatizo

Hakuna mwekezaji makini atakae tia mguu hapo, tutaishia kupata wababaishaji, wapigaji na ma opportunists tu
Hapo kwenye wababaishaji....yaani siku iz naona Waturuki kibao hapa Dar
 
Mmh... 🤔[emoji115]
Usihamaki unatakiwa ulipe kodi kabla ya kufingua duka sasa ukikosa wateja na ulivyoweka dukani umevinunua na vati juu itakuaje?.
Wacha wapungue irudi kodi ya kichwa maana ile ilikua rahisi kukwepa
 
Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo haina justice, mtu anaweza kuamua leo uwe masikini na ukawa masikini ukaishia jela kwa kesi ya uhujumu uchumu. Nchi ambayo ukiokosoa serikali unakua adui namba moja wa serikali na unashughulikiwa na hakuna mahakama wala bunge itakayokutetea. Hakuna jambo baya kama kumshusha tajiri huku kila mtu akiamini ni hila zimefanyika mfano Manji, n.k
 
Back
Top Bottom