Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
sasa wewe no kilaza wa mwisho. nani kakuambia NACP nayo ni taaisisi?? hiyo ni programu kama ilivyo Malaria Control Programme. TACAIDS ndo taaisisi inayohusika na masuala ya Ukimwi.Nchi hii ya ajabu mno taasisi kibao ufanisi kibao!! ulishaahi kujiuliza tofauti ya TACAIDS (Tanzania Commission for AIDS na NACP (National AIDS Control Programme)?. Kaz zile zile ila taasis 2. yote nn ukiuliza? ULAJI.
Yale yale ya NIDA, PASSPORT, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA na DRIVING LICENCENimekaa nikafikiri hapa TZ tuna taasisi nyingi za Serikali kuanzia
1. Tanzania Investment Centre (TIC) vs EPZA vs BRELA,
2.Tanzania Tourist Board (TTB) Vs TANTRADE,
3. Tanzania Employment Services Agency (TaESA) vs Public Service Recruitment Secretariat
Nyingi ya hizi taasisi zinafanya kazi almost sawa na sioni logic ya kuwa nazo zote. Ningependekeza zipunguzwe katika kubana matumizi na kuongeza ufanisi. Vinginevyo kuifanya Tanzania Middle Income country by 2025 itakuwa ni ndoto.
Hongera Mkuuu kilio chako kimesikika Miaka 9 baadae. Hawa ndio Members wa JF wanaoelekea kutoweka kutokana na ujinga uliokithiri hapa jukwaaani.Mgao wa V8 kama kawa
Safi sana-Rasmi kibaha education center imefutwa, Hospitali ya Tumbi Sasa kuwa Hospitali ya Mkoa!
- NIDA na RITA kitu kimoja!
-
Hivi unakumbuka zamani kulikuwa na bodi ya biashara nje na bodi ya biashara ya ndani?Safi sana
umeandika kwa hisia sanaAcheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.
Hahaha kazi kwelikweli.Acheni hizo jamani mnataka sisi tukale wapi? kila mwaka tunapiga safari si chini ya 5 nje ya Tanzania (Kujifunza, semina na makongamano) kila baada ya miaka 3 tunapata mgao wa magari mapya, kasha tunauziana hayo ya "Zamani" ukitaka ufanisi kafungue kampuni wewe na mkeo si huku TIC wala TAN-TRADE.