Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu usaili wao waliitwa kimya kimya hata hakukua na pdf la kuwaita kwenye website ya utumishi lolote linaweza kutokea mkuuTIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine
Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye
Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili