N Ngapulila JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 841 Reaction score 747 Jan 30, 2024 #1 TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,956 Reaction score 2,274 Feb 10, 2024 #2 aisee balaa sana, nimeona hii kitu
Mejasoko JF-Expert Member Joined Oct 20, 2019 Posts 298 Reaction score 600 Feb 11, 2024 #3 Ngapulila said: TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili Click to expand... Huu usaili wao waliitwa kimya kimya hata hakukua na pdf la kuwaita kwenye website ya utumishi lolote linaweza kutokea mkuu
Ngapulila said: TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki yangu mmoja ya walioitwa usaili Click to expand... Huu usaili wao waliitwa kimya kimya hata hakukua na pdf la kuwaita kwenye website ya utumishi lolote linaweza kutokea mkuu