Ticha Mgeni

Ticha Mgeni

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Mwalimu Mgeni alichora moyo ubaoni hata hivyo kwa kuwa alikuwa sio mchoraji sana mchoro ulionekana ovyo alipomaliza akaanza kuwauliza wanafunzi:
MWALIMU,
Nani anajua nimechora nn ubaoni???
MWANAFUNZI 1
Akasimama na kujibu (NI MATAKO)
MWANAFUNZI 2
Hayo ni matako kabisa
MWANAFUNZI 3
Umechora tako mwalimu
Mwalimu alikasirika na kwenda kushtaki kwa mwalimu mkuu kuwa wanafunzi wanamdharau wakaongozana darasani na kuwauliza wanafunzi:-
MWALIMU MKUU
Mbona mnamdharau mwalimu???
WANAFUNZI
hakuna aliyemdharau mwalimu
MWALIMU MKUU
Kama hakuna aliyemdharau nani kachora Matako ubaoni
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwalimu Mgeni alichora moyo ubaoni hata hivyo kwa kuwa alikuwa sio mchoraji sana mchoro ulionekana ovyo alipomaliza akaanza kuwauliza wanafunzi:
MWALIMU,
Nani anajua nimechora nn ubaoni???
MWANAFUNZI 1
Akasimama na kujibu (NI MATAKO)
MWANAFUNZI 2
Hayo ni matako kabisa
MWANAFUNZI 3
Umechora tako mwalimu
Mwalimu alikasirika na kwenda kushtaki kwa mwalimu mkuu kuwa wanafunzi wanamdharau wakaongozana darasani na kuwauliza wanafunzi:-
MWALIMU MKUU
Mbona mnamdharau mwalimu???
WANAFUNZI
hakuna aliyemdharau mwalimu
MWALIMU MKUU
Kama hakuna aliyemdharau nani kachora Matako ubaoni
Sasa picha iko wapi!!
 
Back
Top Bottom