Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.
Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua
Tena wamenunua wenyewe, hawajanunuliwa na serikaliLeo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo kadi za mwaliko wa harusi zimeisha? Bwana harusi keshapiga suti anasubiri mwali aliyeingia jana [emoji1787]
Wameuza au wamegawa bure?Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.
Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua.