Ticket 62,000 ni Sold Out huko Algeria, mama yangu weeeeeeee

Ticket 62,000 ni Sold Out huko Algeria, mama yangu weeeeeeee

Kwahiyo kadi za mwaliko wa harusi zimeisha? Bwana harusi keshapiga suti anasubiri mwali aliyeingia jana [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Najua Yanga watafungwa nyingi lakini pia itakuwa haijakata kiu yangu ya kuwaona wakiteseka natamani hawa mabwana warudiane nao tena nyumbani na ugenini ili waumizwe tena nje ndani yaani wawe wanacheza nao hata kila wiki tu hao hao
 
Leo vyombo vya habari nchini Algeria vimetangaza tiketi zote 62,000 zimeisha within two days.

Mwarabu anataka kumfanya nini huyu utopolo jamani maana hawa jamaa tabia zao tunazijua.
Wameuza au wamegawa bure?

Kama wameuza basi utopolo anakafiniwa kweupeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom