Ticket SGR mfumo unafunguliwa muda gani?

Ticket SGR mfumo unafunguliwa muda gani?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu naombeni msaada wenu,

Nimeingia katika mfumo wa ticket online wa SGR lakini hakuna urahisi wakukata ticket kwa treni ya saa kumi na moja na nusu alfajiri.

Kuna njia mbadala wakupata ticket haraka ya Al fajiri?
 
Ni wanazingua kweli kweli yaani.. Hata sielewi shida nini, sijui ndio wameshaanza kuhujumu.
 
Hivi ina maana TRC au SGR wameshindwa tengeneza APP ya kufanya online ticketing? Mbona kuna vijana na IT Tech.companies za kutosha Tanzania, kwani huu mradi walishtukizwa? Hawakuwa wanajuwa watu wata takiwa fanya booking, kufanya reservations, submit suggestions etc? Kuna mambo mengi sana ya kusikitisha ukiwaza nchi yangu Tanzania, mradi mkubwa una failures ndogo ndogo. website yenyewe ya kufanya booking ni nzito mno server ziko very slow kurespond kweli katika ulimwengu huu na uwepo wa fiber optic cable ni muda wa kuwa na slow internet TRC?
 
Labda bundi na ngedere pia wanahack mtandao!!
 
Back
Top Bottom