Hivi ina maana TRC au SGR wameshindwa tengeneza APP ya kufanya online ticketing? Mbona kuna vijana na IT Tech.companies za kutosha Tanzania, kwani huu mradi walishtukizwa? Hawakuwa wanajuwa watu wata takiwa fanya booking, kufanya reservations, submit suggestions etc? Kuna mambo mengi sana ya kusikitisha ukiwaza nchi yangu Tanzania, mradi mkubwa una failures ndogo ndogo. website yenyewe ya kufanya booking ni nzito mno server ziko very slow kurespond kweli katika ulimwengu huu na uwepo wa fiber optic cable ni muda wa kuwa na slow internet TRC?