TID aiomba serikali imnunulie vyombo vya muziki apambane na watumia madawa

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,695
Reaction score
1,470
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.

Amesema atatumia vyombo hivyo kupambana na vita ya utumiaji madawa ya kulevya akilenga kuielimisha jamii kupitia muziki.

Source Mahojiano mubashara TBC tv
 
Hii dhana ya utegemezi itaisha lini Tanzania? shame!
 
Nilicho gundua ni kwamba Tanzania na watu wake wanapenda sana kumsikia mtu hadharani akitamka kua kafulia,,,
 
Asijali rc wa dar atamnunulia

Ova
 
Anataka vyombo vya nini? SI atunge nyimbo Kisha akarekodi studio? Akishapata pesa za mauzo na show ndio awaze kufufua bendi. Anataka apandie kwenye mgongo WA vita ya dawa za kulevya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…