Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alimwona mwanamziki yupi hapa ulimwenguni alieshinda vita ya madawa a kulevya kwa kutumia muziki?Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.
Amesema atatumia vyombo hivyo kupambana na vita ya utumiaji madawa ya kulevya akilenga kuielimisha jamii kupitia muziki.
Source Mahojiano mubashara TBC tv
Kwisha habar yake Jeur yote ileAmesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.
Amesema atatumia vyombo hivyo kupambana na vita ya utumiaji madawa ya kulevya akilenga kuielimisha jamii kupitia muziki.
Source Mahojiano mubashara TBC tv
Akafie mbaliTunge Acha Kubeza, Tid yupo serious na kwa dhati anataka kurudi kwenye game, tumpe moyo na tumuombe malengo yake yatimie. Nimesikiliza Kwa Makini, Ana Sauti Ana Target na ana focus. keep it up brother.
alipata pesa sn huyu kijana alizichezea ni bora wasaidiwe wengineTunge Acha Kubeza, Tid yupo serious na kwa dhati anataka kurudi kwenye game, tumpe moyo na tumuombe malengo yake yatimie. Nimesikiliza Kwa Makini, Ana Sauti Ana Target na ana focus. keep it up brother.