TID aiomba serikali imnunulie vyombo vya muziki apambane na watumia madawa

Awataje kwanza wale wote waliokua/walie nae kwenye mzunguko wa madawa hatarishi ya kulevya(vituo vya kununulia, wauzaji wote(nyumba, majina na mbinu wazitumiazo ili wasikamatwe)), akiweza na akaaminika anaweza pata public sympathy
 
Kero zilivyojaa kila kona halafu wakununulie vyombo!
 
Hata US kwenye Musicians wenye vipaji vya hali ya juu hawajaweza kuibadili hali ndani ya US..Aseme tu anahitaji msaada wa Vyombo..
 
Tunge Acha Kubeza, Tid yupo serious na kwa dhati anataka kurudi kwenye game, tumpe moyo na tumuombe malengo yake yatimie. Nimesikiliza Kwa Makini, Ana Sauti Ana Target na ana focus. keep it up brother.
 
Amwambie Bashite
 
Hakuna msanii mwenye njaa dunian kama TID,..namfaham vzuri
 
Sasa awezeshwe yeye au Kamishna Sianga.
 
Reactions: y-n
Hii akiisikia mkulu lzm amnunulie anavyopenda sifa haswa kwa watu ambao nyie mnawachukia.
 
Amtafute Le Field Marshall Super Friend I'm humbled you know hahahaa.
 
Hvi huyu msanii bashite alikua anamtibia kuacha unga au ndo alikua anamnunulia unga [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana mm akili yake kila siku zinavokwenda nashindwa kuzielewa
 
Mi nafikiri wamnunulie bunduki ndio atapambana vizuri.
 
Jamaa kila siku lazima nimuone sehemu fulani hivi ya starehe
 
muongo uyo bado anaendelea mbona na kuonja madude au anataka apambane vp huyo teja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…