Mtakumbuka kuwa Siku za hivi karibuni TID alijitokeza hadharani na kuuthibitishia umma kuwa ameachana na matumizi ya dawa za kelvya na kwa sababu hiyo ilibidi apatiwe msamaha kwani ilibidi afungwe. alimuahidi Mkuu wamkoa kuwa atakuwa balozi na atawaelimisha wengine kuachana na dawa za kulevya. mbaya zaidi alipata hadi sapoti ya pesa kwa kazi hiyo.
Kuna video zinasambaa mitandaoni zikimuonyesha TID akiwa katika hali mbaya zaidi na anahitaji msaada Wa haraka vinginevyo tutampoteza. madawa ya kulevya yanazidi kumharibu.
Napendekeza akamatwe kwa udanganyifu na kuendelea kutumia madawa ya kulevya