TID akamatwe kwa kumdanganya mkuu wa mkoa eti kaacha madawa ya kulevya

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Mtakumbuka kuwa Siku za hivi karibuni TID alijitokeza hadharani na kuuthibitishia umma kuwa ameachana na matumizi ya dawa za kelvya na kwa sababu hiyo ilibidi apatiwe msamaha kwani ilibidi afungwe. alimuahidi Mkuu wamkoa kuwa atakuwa balozi na atawaelimisha wengine kuachana na dawa za kulevya. mbaya zaidi alipata hadi sapoti ya pesa kwa kazi hiyo.

Kuna video zinasambaa mitandaoni zikimuonyesha TID akiwa katika hali mbaya zaidi na anahitaji msaada Wa haraka vinginevyo tutampoteza. madawa ya kulevya yanazidi kumharibu.

Napendekeza akamatwe kwa udanganyifu na kuendelea kutumia madawa ya kulevya
 
hii ni siasa?? Mods toeni haraka haya mavitu yanaudhi
 
Wanamkamata vipi wakati madawa bado yanapatikana kwa urahisi...ina maana vita ya madawa imekwisha na watu bado wako salama???
 

Unaweza kututajia jina la huyo mkuu wa mkoa ili tujue nani hasa ni mwongo kati ya TID na huyo jamaa
 
Ule ulikuwa usanii tangia mwanzo, mkakati mahsusi wa kuwaumiza baadhi ya watu! TID is far too gone, wa kujilaumu ni rc mwenyewe kwa kumuhusisha TID not vice versa!
 
Hebu acheni kumuamini sana Mange nyie.
 
tupia moja ya video tuone
 
Akamatwe wakati walikuwa wanaigiza wote wawili?
Ila nimeimiss ile tamthilia.
 
Halaf wengi wao wanaomfata ni wadada wa mjini na wanawake wenye werevaa ....anaboa uyu Dada aje uku kupambana sio kuzngua watu
Mimi naona wanaomfata Mange kuliko wewe unayemfata Bashite! teh teh teh teh
 
Huyo kaz yake ni kuonja unga hawez kuacha kirahs
 
hamna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…