TID akamatwe kwa kumdanganya mkuu wa mkoa eti kaacha madawa ya kulevya

TID na uyo mkuu wa mkoa walitumika kuhadaa wananchi.
 
Huyu Bwana TID si ndiye alisema yeye mnyama...then what do you expect from him.
 
Kwani aliyetuma ni mange? ? Hiyo picha imeanza kuzunguka mitandaoni hata kabla mange hajapost
 
Kwahiyo vita haijafanikiwa bado?
 
Ngada sio kama ugali kusema unaweza kuacha kula muda wowote
 
poor youi
tuache kujadili siasa za kitaifa kimaendeleo tumjadili mtu mmoja aloamua kufanya upuuzi? Wangapi wanatumia...tuwajadili mmoja mmoja humu?? Shikeni maisha yenu na familia zenu acheni kujadili watu,ni umbea Wa kijinga!! Tujadili ideas and issues...kama mimi pua wewe kamasi!!
 
Mbona yeye hakuna aliyemkamta kwa kuwa na vyeti feki?

What comes around goes around!
 
kuacha madawa ya kulevya syo jambo rahisi.. vijana chonde chonde.. ishieni kkwenye pombe hukohuko
 

ndio maana kuna jukwaa LA siasa. nenda hukohuko pumbavu huku unatafuta nini?
 
Ule ulikuwa usanii tangia mwanzo, mkakati mahsusi wa kuwaumiza baadhi ya watu! TID is far too gone, wa kujilaumu ni rc mwenyewe kwa kumuhusisha TID not vice versa!
Mkuu natambua jitihada zako katika vita dhidi ya madawa ya kulevya. Ulichokiandika hapa unakijua vizuri. Hata sisi wengine tuliona kabisa ule ulikua mkakati maalum wa kuwaumiza baadhi ya watu na wala haukua na lengo la kupambana na matumizi ya dawa za kulevya.
 
Reactions: MTK
Vice versa is true.
Mkuu wa mkoa ndio alimdanganya TID aseme ameacha madawa ya kulevya.
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…