TID amlalamikia Billnass, ‘sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane'

bil anajua kujieleza, i like him, masela wanakunja, watakunjua tu pambaf zao
chafu pozi...dogo anajielewa...motech mchopanga mwenyewe alisema dogo ndo the next best thing......zilla amelizika alipofikia acha dogo atoboe
 
chafu pozi...dogo anajielewa...motech mchopanga mwenyewe alisema dogo ndo the next best thing......zilla amelizika alipofikia acha dogo atoboe
sure bro! dogo yupo vizuri kiukweli.. ana staili flani ya kujitofautisha.. zilla katoa next level lakini haijafika popote kulinganisha na chafu pozi
 
Tenda wema nenda zako TID acha UDWANZI Wabongo wakikusaidia wanataka kila saa ujipendekeze
 
That's is my boy. Bill nass bill nengaaaaa. SEMA CHAFU POZI. Maneno kitu simpo
 
Siku ya kwanza kusikia ligi ndogo nilizani Godzilla katoa kitu kipya..nikaambiwa ni billnass..da! ila chafu pozi nimekubali ni kali sana.. jamaa yuko humble..hana ngebe..
 
omary nyemo ana dharau tena sana tu...
tatizo hawa wasanii wakishatoka wakaijua njia wana dharau mno...
na kama umemtoa mtu njia panda ukampeleka nyumbani afu akaleta dharau una haki ya kulalamika hata mimi binafsi!
kama wanamuona TID hafai kwanini wanamtafutaga wapate pa kutokea??
 
Inampasa mwanafunzi kumshirikisha mwalimu wake katika mema yote. Dogo arudi nyuma aombe radhi hata kama anajiona hana tatizo kwani upandacho ndicho utakachovuna mwalimu wake bado anayo nafasi kwake.
 
Yes TID ni bidhaa kubwa sana kwenye kiwanda cha muziki wa kizazi kipya.... Akikuwekea chorus tu kwenye nyimbo yako lazima iwe hit song.

Sasa vijana wanaotaka kutoka wanalitambua hilo so na wanatoka kupitia yeye.

Kuhusu kumdharau TID nadhani ni life style yake inamfanya tid adharaulike.. kifupi tid hakupaswa kuwa kama alivyo.TID ni star kwanini umechagua maisha hayo TID..

Bill Nas hebu jifunze kuishi na huyu jamaa vzr haya maneno maneno na ww ndio kwanza una nyimbo 3 sio nzuri kwa biashara yako ya muziki.

Rudi TID,Q-Chief, Nuruely, Makamua,Josline,QJ, Nature,Daz baba,ferouz...

Kuna vitu vinamiss sana kwenye hii game ya bongo hao niliowataja hapo juu kuna radha fulani imepotea kwenye muziki wetu na wao ndio wanayo.
 
Ila kiukweli wasanii wabongo shukrani zero. Mtu akifanikiwa anatamani kufuta historia yote. Wenzetu hata kama mmetofautiana lakini anaona fahari kuzungumzia alikotoka na jinsi alivyopata msaada. Ndio maana husaidia wengine kujua mapito yako halisi ili pia wasikate tamaa. Ni vyema kuonesha heshima kwa waliotushika mkono hilo tu linatosha maana huwezi kumfurahisha kila anachotaka lakini heshima na kuwa sehemu ya historia yako.
 
Ila dogo kwenye maelezo yake sijaona mahali anamdharau TID, naonaga anampa respect ya kutosha, inabidi awe professional sasa huyo TID haya mambo ya kufanya biashara kisela ndio yanamgharimu, angeingia naye mkataba mzuri kama anavyofanya Diamond kwa wasanii wake sahivi angekuwa anapata hela ya bila na ngada (lol) kupitia show za dogo, wala asingekuwa analia hivi
 
Godzilla mimi namuona anamuiga fifty cent, alafu BILL anamistari mikari, inawezekana anamuiga kiasi Fulani zilla si unajua hawa jamaa wote wanasoma chuo kimoja ( CBE), shida ni kitu gani na tunaishi maramoja,
Sawa zilla ana mcopy 50,bill anamcopy Zilla......kibongo bongo Zilla mkali kwa kila kitu swaga,michano,minato na biti.Bilnas bado sana akaze,kwa track 2 asijione ndo kafika na kuanza kuanzisha mabifu ya kilof.a!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…