TID amlalamikia Billnass, ‘sijapenda alikuwa akinibembeleza nimsaidie ajulikane'

BILLNAS FT NAZIZ HII NDO NGOMA ILIYOANZA MPA UMAARUFU KABLA HAJAFANYA NA TID LIGI NDOGO,TATZO TID ANA WIVU JAMAA ANAPGA HELA KUMZIDI YEYE
 
mbona mm siijui
ngoma ligi ndogo bwana...
 
BILLNAS FT NAZIZ HII NDO NGOMA ILIYOANZA MPA UMAARUFU KABLA HAJAFANYA NA TID LIGI NDOGO,TATZO TID ANA WIVU JAMAA ANAPGA HELA KUMZIDI YEYE
Unamjua alomkutanisha huyo bíllnas na nazizi? By the way hiyo ngoma(raha) ni billnas . ft. Nazizi&T. I. D
 
nilikua sijui chafu pozi na ligi ndogo za billnas ngoma kali balaa
 
unique wapi bhana ile ni style km ya godzilla copy and paste....siku ya kwanza kuskia audio ya ligi ndogo nilijua ni king wa Salasala mnyamwezi zilla kumbe ni huyu chalii Bil.
Zilla kacopy kwa 50Cent so hatuwez sema sana. wezi wamekutana eneo la tukio dawa ni kuvunga na unavuka upande wa pili kama hakuna kilichootokea.
MANENO KITU SIMPLE
 
Nilisikia interview ya Billnas wakati Zilla anamuita wack na eti anapenga, jamaa ni mnyenyekevu sana
 
Sina jambo ,sina jambo........
Dogo yuko humble sana....
 
Godzill
unique wapi bhana ile ni style km ya godzilla copy and paste....siku ya kwanza kuskia audio ya ligi ndogo nilijua ni king wa Salasala mnyamwezi zilla kumbe ni huyu chalii Bil.
Godzilla alichokosea nikumuachia billnass atembelee mitindo yake na swaga yaani kutembelea nyota ya zila to fullest. Godzilla alitakiwa akome nae kistaili mpk watu wangekuwa zila is the owner wa staili hiyo na na swaga. Ila tusimlaumu billnass yawezakuwa zila ni Rose modeli wake si ka ovyo yuko sawa na hizo copy and pste
 
Hii weekend, nakuelewa mzee na uo uandishi, ila ni hivi! Bill Nass alisha kiri kwamba Zilla alikua ana muandikia mistari toka wapo huko CBE ila ndo ivo kesha mfunika
 
.zilla afanye staili zake zile zile mpo watu waelewe yeye ndo mwenye hakimiliki.dogo kweli kamfunika jamaa. Zilla marekani mwingi afanyi tena zile street rap.mfano mdogo wa zilla na b.nass ni futur na desiegner,future asingeweza kaza desiigner angemuovertake na kujimilikisha staili ya ya uchanaji.
 
Back
Top Bottom