TID apewa kichapo ka mbwa mwizi!

TID mchokozi sana. kuna kipindi alikua akipiga live band pale bills, tulipishana naenda zangu maliwatoni akanipiga kifua. Mi nikajua bahati mbaya! nikamwambia samahani, eti akasimama akanambia, 'unanikazia msuli?' ikabidi niondoke zangu, ile napiga hatua akanikwatua kwa nyuma. nlishangaa sana!. tungekua maisha club au sehemu nyingine lazima ningemfanyizia. mia
 


Anachagua wa kuwafanyia hivyo...
Wallah Yakhe siku yake akijishaua kuingia kwenye angle yangu ntannyoosha naapa.
 
Anachagua wa kuwafanyia hivyo...Wallah Yakhe siku yake akijishaua kuingia kwenye angle yangu ntannyoosha naapa.
hahahaaaa...!!. mara nyingi fujo anafanyia bills tu au kweny shughuli binafsi za kuparty. mia
 
Siku huyo TID akiingia anga zangu ntamkung'uta hadi aharishe minyoo yote tumboni.achezee hao hao mateja wenzie.
 
Miaka yangu 9 ya kuwa hospitali sijawahi kushuhudia 'nundu ya pua'...si kwa ajali wala magomvi!


Hata mimi nimejiuliza sana hili swali nikajikuta nacheka nilipokusoma hapa tabibu,inawezekanaje mtu ukatoka nundu ya pua..??
 
Ndiyo hivyo! Njaa ikizid sana huleta maafa, unajiita star huku unapigwa stater! Hivi kuna watu wanapigana tena bongo siku hizi....??
 
anachagua huyu alishawah kumpiga mtoto wa mfanyabiashara ya mafuta kisha kuanza kujisifia yeye mkali wa donta na asubuh na mapema akaja kukamatwa na kupelekwa segerea kishj huruma ya kikwete ikamuokoa
 
Hivi leo nisiku gani na nipo jukwaa gani mitungi ya jana hata sijui mimi ninani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…